×

JPM Akutana na Mwenyekiti wa Taasisi ya Africa Matter Ltd. Ya Uingereza

lc (1)   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Taasisi ya Africa Matters Limited ya Uingereza, Mhe. Lynda Chalker aliyemtembelea kwa mzungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2016.
lc (4)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimkaribisha kuketi  Mwenyekiti wa Taasisi ya Africa Matters Limited ya Uingereza, Mhe. Lynda Chalker aliyemtembelea kwa mzungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 31, 2016.
lc (5)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa Taasisi ya Africa Matters Limited ya Uingereza, Mhe. Lynda Chalker aliyemtembelea kwa mzungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 31, 2016.
lc (7)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza Mwenyekiti wa Taasisi ya Africa Matters Limited ya Uingereza, Mhe. Lynda Chalker baada ya  mzungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 31, 2016.
lc (10)“Hapa kazi tu…” anaonekana kusema Mwenyekiti wa Taasisi ya Africa Matters Limited ya Uingereza Mhe. Lynda Chalker baada ya  mzungumzo yake na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli  Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 31, 2016

Leave a Comment