×

Video: Chid Benz Afanya Shoo Ya Kwanza Maisha Basement, Dar

chid-benz-5

Staa wa Bongo Fleva, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’, akikumbatiana na shabiki wake usiku wa kuamkia leo Maisha Basement jijini Dar.

chid-benz-6 chid-benz-14

chid-benz-33

…Akicheza na mashabiki zake.

chid-benz-24 …Akiongea na shabiki wake.  chid-benz-34

Mashabiki wakiwa wamepagawa na shoo hiyo.

chid-benz-46

Chid Benz akiendelea kufanya yake.

chid-benz-52 chid-benz-53

Shabiki alimsalimia Chid Benz.

USIKU wa kuamkia leo ulikuwa wa aina yake kwa Staa wa Bongo Fleva, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’, alipojumuika na mashabiki zake kwa mara ya kwanza tangu atoke kutumia tiba ya kuondoa madawa ya kulevya mwilini, ndani ya Ukumbi wa Maisha Basement ulioko Kijitonyama jijini Dar.

(PICHA ZOTE NA GLOBAL TV)