×

Wanahabari Dodoma Watembelea Miradi ya Uwekezaji ya LAPF

thumbnail_domitory-hombolo-1Baadhi ya Maofisa wa LAPF pamoja na waandishi wa Habari wakitembelea mradi wa mabweni katika Chuo cha Serikaliza Mitaa cha Hombolo nje kidogo ya manisapaa ya Dododma. LAPF imetumia bilioni 39 kujenga baadhi ya majengo na miundimbinu katika chuo hicho.

thumbnail_ag-director-2Kaimu Mkurugenzi Huduma kwa Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF ramadhani Mkeyenge akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Dodoma kuhusu miradi iliyotekelezwa na LAPF katika maeneo mbalimbali nchini.

thumbnail_domitory-udom-3Mradi wa Mabweni katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). LAPF imetumia bilioni 22 kujenga majengo na miundimbinu katika Chuo cha Elimu ya Tiba na Afya chuoni hapo kwa awamu ya kwanza ya mradi huo.

thumbnail_lecture-room-hombolo-4Moja ya Vyumba vya madarasa katika Chuo cha Serikaliza Mitaa cha Hombolo (Sehemu ya mradi wa LAPF). Darasa hili lina uwezo wa kuchukua wanafunzi 520 kwa wakati mmoja.

thumbnail_computer-lab-hombolo-5Maabara ya Kompyuta katika Chuo cha Serikaliza Mitaa cha Hombolo.