Messi akijaribu kujikunjua shuti.
Man City wakishangilia bao.
De Bruyne (No 17) akiifungia Manchester City dakika ya 51, baada ya kupiga free-kick.

Suarez (kushoto), Messi (kati) na Neymar wakishangilia goli alilofunga Messi.
Neymar wa Barca akifanya yake.
Sterling akijiangusha kwenye penalty box baada ya kuguswa na beki wa Barca, Samuel Umtiti.
Refa Viktor Kassai akimpiga kadi ya njano, Sterling.
Ligi ya Klabu Bingwa Barani Ulaya iliendelea tena usiku wa kuamkia leo, ambapo kulikuwa na jumla ya michezo minane.
Manchester City wakiwa nyumbani walilipa kisasi dhidi ya Barcelona kwa kuichakaza magoli 3-1.
Washika Bunduki wa Jiji la London, Arsenal waliendelea kudhihirisha ubabe wao mbele ya Ludogorets Razgrad ya Bulgaria kwa ushindi wa 3-2.
Atletico Madrid wakiwa nyumbani waliibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya FC Rostov.
Bayern Munich ikaifunga PSV Eindhoven 2-1.
Matokeo mengine
Basel 1-2 Paris Saint Germain
Besiktas 1-1 SSC Napoli
Benfica1-0 Dynamo Kyiv
Bourussia Moenchengladbach 1-1 Celtic
Manchester City 3-1 Barcelona
MAGOLI YOTE YA MAN CITY NA BARCA

