×

Wananchi Wafuatilia Mahojiano Kati ya JPM na Wahariri

1 Baadhi ya wananchi wakifuatilia mahojiano ya vyombo mbalimbali vya habari na Rais Magufuli kwenye runinga.

WANANCHI  leo walifuatilia mahojiano kati ya Rais John Magufuli na vyombo vya habari leo  huko Ikulu kupitia vyombo mbalimbali vya habari  vikiwemo  luninga, yaliyofanyika katika ukumbi maalum wa mikutano  jijini Dar es Salaam.

Na Denis Mtima/Gpl.