Video Mpya: Future Feat. Drake – ‘Used To This’ Global Publishers November 5, 2016 4,582 views SHARE THIS: Ma-rapa nguli nchini Marekani, Future na Drake wameungana tena na kuingia studio kurekodi ngoma mpya inayoitwa “Used to This.” Video ya wimbo huo imeandaliwa na Eif Rivera, Future na Drizzy wamekamua mbaya kwenye ngoma hiyo, icheki hapa. SHARE THIS: