×

Sloti ya Wild Hot 40 Inakupa Ushindi Mkubwa Meridianbet

Sloti ya Wild Hot 40          

Unawaza ni mchezo gani wa kasino au sloti itakupatia ushindi mkubwa kwa dau dogo na rahisi kucheza? Jibu ni moja tembelea kasino ya mtandaoni hapa, kisha tafuta sloti ya Wild Hot 40 cheza ujiweke kwenye nafasi ya kushinda na kuingia kwenye Jackpot ya Meridianbet.

Sloti hii ina Jackpot za aina tatu, Diamond, Platnum na Gold, kadiri unavyozidi kucheza unazidi kujiweka kwenye nafasi ya kushinda moja ya Jackpot hizi za kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Jinsi ya Kucheza Sloti ya Wild Hot 40

Sloti hii ya Wild Hot 40 inayopatikana Meridianbet kasino ya mtandaoni, inasifika kwa uchezaji wake rahisi haswa katika muundo wa alama za matunda na muundo wa kolamu 5 na mistari 40 ya malipo.

Matunda hayo ni Ndizi, Tufaa (Apple) na Strawberry ambapo ukipata alama hizi 5, utapata mara 2.5 ya dau uliloliweka. Ukipatia alama 5 za Kengele, unarudishiwa mara 5 ya dau uliloliweka. Ukipatia alama ya namba 7 za bahati, utapata mara 10 ya dau uliloliweka. Ukipatia alama 5 za Wild, utarudishiwa mara 25 ya dau uliloweka wakati ukipatia alama 5 za Scatter utarudishiwa zaidi ya mara 500 ya dau lako.

Kubwa Zaidi ni kwamba Sloti hii kutoka kasino ya mtandaoni inakuja na  chaguo la Gamble ambalo litakuletea mara 2 ya faida uliyoipata kwenye ushindi wako.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

Leave a Comment