Staa wa Bongo Fleva, Pam D (wa pili kutoka kulia) akiwa na Meneja wa masoko wa Maisha Basement, Geoffrey Jilla ‘Gilla The Boss’ (wa tatau kutoka kulia) na Meneja mipango wa Maisha Basement, Robert (kulia) wakijiachia katika red carpet ya usiku wa Mastaa iliyofanyika siku ya Jumapili.
Gilla the Boss (kushoto) akijiachia na Pam D.
Pam D akifanya mahojiano na Global TV Online.
Pam D hapa akifanya mahojiano na EAT.
Msanii wa kike wa MJ Records aitwaye, Haitham (kulia) akiwa na Gilla the Boss.
Video queen asiyeishiwa vituko Bongo, Gift Stamford ‘Gigy Money’ akifanya yake mbele ya video queen wenzake.
Kutoka kulia ni Video Queen, Anita, Lulu Diva (katikati) wakiwa na Pam D.
Lulu Diva akipiga self
Wakiendelea kufanya yao.
Msanii Wa Kike Wa Hip Hop na Bongo Flava Chemical akifanya yake.
Msanii Galatone akiimba wimbo wake wa Samaki.
Burudani zikiendelea.
Pam D akifanya yake stejini na wanadada machachali bongo Lulu Diva na Gigy Money.
Video Queen wakifanya yao.
Wakitoa burudani.
Gilla The Boss akiongea jambo baada ya kukata keki (haipo pichani).
Meneja wa Burudani wa Maisha Basement, Hemed Kavu ‘HK’ akilishwa keki na Gilla The Boss.
Mastaa mbalimbali wa Bongo usiku wa kuamkia jana walimiminika kwa wingi katika Ukumbi wa Maisha Basement uliopo Kijitonyama, Dar es Salaam katika Usiku wa Mastaa uliokwenda sambamba na burudani kadhaa kutoka kwa wasanii wa Hip hop na Bongo Fleva.
Mastaa hao ‘walishow love’ na mashabiki wao waliofika ili kujumuika nao ikiwa ni pamoja na kupata nao selfie kadhaa.
Mastaa waliohudhuria usiku huo ni pamoja na wasanii Christian Bella, Bob Junior, Chid Benz, Pam D, Mesen Selekta, Country Boy, Galatone, Chemical, Haitham, Solid Ground Family sambamba na video vixen wakiongozwa na Lulu Diva, Gigy Money, Kibonge Sexy, Kidoa, Azama, Jojo pamoja na mastaa wa Bongo Muvi akiwemo Duma na wengine wengi walioupamba vilivyo usiku wa mastaa.
























