MSHINDI wa Kiti cha Urais wa Gambia, Adama Barrow amenyimwa kutumia Televisheni ya Taifa ya nchi hiyo huku Rais Jemmeh Yahya aliyeshindwa uchaguzi huo akipinga matokeo hayo.
Rais Jammeh aliyeshindwa uchaguzi, ametangaza kwenye runinga baada ya uchunguzi wa kina amegundua udanganyifu wa matokeo na kutaka uchaguzi uitwishe upya.
MZEE WA MIAKA 76 ALEYETANAGAZA KUTAFUTA MKE “FULL EXLUSIVE INTERVIEW”


