×

Wasifu wa Prof. Yunus Mgaya Aliyeteuliwa Kuwa Mkurugenzi Mkuu Wa NIMR

3e63profProf. Yunus Daud Mgaya aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NIMR kujaza nafasi ya Dkt Mwele Malecela ambaye uteuzi wake ulitenguliwa jana.