×

Mtanzania Khadija Naif Aitangaza Tanzania Nchini Saudi Arabia

index

Mtanzania Khadija Naif, mwenye umri wa miaka 31, aliejitolea kwenda kwenda nchini saudi Arabia kuitangaza Tanzani.

2

Mtanzania Khadija Naif akionyesha bidhaa zake.

Mtanzania Khadija Naif, mwenye umri wa miaka 31, aliejitolea kwenda kwenda nchini saudi Arabia kuitangaza Tanzania na bidhaa za Tanzania ashinda achukua namba moja katika mabanda 170, mtanzania huyo aipaisha Bendera ya Tanzania kwa mara ya pili sasa nchini Riyadh, Saudi Arabia, exhibition hio, inayofanyika kwenye Riyadh Exhibition center, balozi wa Tanzania nchini saudi Arabia wamefurahishwa na ushindi huo, Khadija Naif, ni mzalendo anaependa nchini yake, amechukua bidhaa za Watanzania wengi na kupakia kwenye cargo ili zifike kwenye maonesho nchini saudia Arabia, amechukua bidhaa kwa Tanzania bila malipo yoyote, kama alivyosema hapa kabla ‘ naipenda nchi yangu, nataka bidhaa zetu zijulikane na watu wafanye biashara na nchi za nje, wenyewe kama wazalishaji wa bidhaa wapate masoko,’ kauli hii imemfanya maelfu wa Watanzania kumiminika ofisini kwake na kumpongeza na hatimaye kuwapa ushauri mzuri watanzania wenzake, mungu mbariki Khadija Naif, Mungu Ibariki Tanzania yetu tunajivunia na mtu kama dada Khadija