×

Mwanza: Makonda Afika CCM Kirumba Kumuaga Magufuli – Video

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameungana na wakazi wa jiji la Mwanza na mikoa ya jirani ya Kanda ya Ziwa katika zoezi la kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini humo leo Machi 24, 2021.

Leave a Comment