×

Moto wa Chelsea Usipime, Yaichapa Bournemouth 3-0, Pedro Akiweka Mbili Kambani

chelsea-1
chelsea-2
chelsea-3 chelsea-4 chelsea-5 chelsea-6 chelsea-7KLABU YA Chelsea imezidikujikita kileleni mwa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya jana kuichapa Klabu ya Bournemouth bao 3-0 na kujikusanyia pointi 46 mbele ya Manchester City wenye pointi 39.
Mbali na kuwakosa ma-straika wao machachali wakali wa kufumania nyavu, Diego Costa na Ng’olo Kante lakini bado Chelsea walionekana kuumudu mchezo hivyo kufanikiwa kupata ushindi wa 12 mfurulizo bila kushindwa.
Inavyoonekana Chelsea wanajaribu kufanya kweli ili wajihakikishie ushindi wa mapema kabisa wa Kombe la EPL msimu huu.
CHELSEA (3-4-3): Courtois 7; Azpilicueta 6.5, Luiz 6, Cahill 6; Moses 6.5 (Aina 89), Fabregas 7, Matic 6.5, Alonso 6; Willian 7 (Chalobah 83), Hazard 8 (Batshuayi 90), Pedro 7.5.
Subs not used: Begovic, Ivanovic, Zouma, Loftus-Cheek.
Scorers: Pedro 23, Hazard 49 pen
Booked: Pedro
Manager: Antonio Conte 7.
BOURNEMOUTH (3-5-1-1): Boruc 6; Francis 5, Cook 5, Daniels 5; A Smith 6, Gosling 6.5, Surman 6.5 (Stanislas 66), Arter 6, B Smith 6 (Ibe 77); Wilshere 6; King 5 (Afobe 66).
Subs not used: Wilson, Federici, Fraser, Mings.
Booked: Wilshere
Manager: Eddie Howe 6.
Man of the Match: Eden Hazard
Referee: Mike Jones (Cheshire) 6
Attendance: 41,384

Msimamo wa EPL

  • Team P GD Pts
    1 Chelsea 18 27 46
    2 Manchester City 18 19 39
    3 Liverpool 17 21 37
    4 Arsenal 18 20 37
    5 Tottenham Hotspur 17 17 33
    6 Manchester United 18 9 33
    7 Everton 18 2 26
    8 Southampton 17 1 24
    9 West Bromwich Albion 18 1 23
    10 Watford 18 -8 22
    11 West Ham United 18 -9 22
    12 Stoke City 17 -5 21
    13 Bournemouth 18 -8 21
    14 Burnley 18 -11 20
    15 Middlesbrough 18 -4 18
    16 Leicester City 18 -8 17
    17 Crystal Palace 18 -4 16
    18 Sunderland 18 -15 14
    19 Swansea City 18 -20 12
    20 Hull City 18 -25 12

Nay wa Mitego Ametoboa Siri: Hiki ndicho Alichokimiss kwa Shamsa Ford