Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT- Wazalaendo na Kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe awasilisha fomu za Tamko la Rasilimali na Madeni yake katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma.