×

Video: Eric Omondi Ameirudia Movie ya ‘The Gods Must be Crazy’ ya Bush Man

eric-omond
MSANII maarufu wa vichekesho kutoka nchini Kenya, Eric Omondi ni mchekeshaji ambaye ukimtazama au kusikiliza kazi zake lazima ushike mbavu zako.
Msanii huyo amejinyakulia umaarufu kwa kufanya covers ya nyimbo mbalimbali za wasanii wakubwa akiwemo Diamond na wengine.
Hii ya sasa amekuja na mpya baada ya kurudia movie ya ‘The gods must be crazy’ iliyochezwa na msanii maarufu kwa jina la Bush Man ambapo yeye ameeiita ‘The Gods are not crazy we are’.
Itazame uvunjike mbavu zako.