×

Marafiki Walinikimbia Baada ya Kukaa Kimya Kwenye Muziki

linex-2

Linex Sunday Mjeda

MSANII wa Bongo Fleva kutoka Voice Of Africa (VOA), Linex Sunday Mjedaa, wiki hii ametupa karata yake nyingine baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu. Akifanya mahojiano na vituo mbalimbali vya redio, Linex alisema  alikimbiwa na marafiki baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu.

linexIpo tabia ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya kuja na kupotea, wakongwe wengi kwa sasa hawapo katika chati ya muziki badala yake wanafanya shughuli nyingine tu za biashara na wengine kujihusisha na siasa.

Kupotea kwa wakonge kwenye ‘game’ kunatokana na kwamba muziki kwa sasa upo kimapinduzi zaidi,linex-3

…Linex Sunday Mjeda

 kila kukicha wasanii wachanga wanatoka na kazi zenye ushindani mkubwa na kusababisha wakongwe kushindwa kwenda na kasi iliyopo.

Hivyo Linex amerudi tena baada ya kuonja joto ya kupotea kwenye chati ya muziki kwa muda mrefu.

Salum Milongo/GPL

 

Shinda Nyumba Awamu ya Pili Yatikisa Jiji la Dar es Salaam