×

PICHAZ: Mastaa Kwenye Tuzo Za The Grammy Awards 2017.

Kama wewe ni shabiki wa muziki wa mamtoni, basi usiku wa jana Februari 12 2017 naamini ulikuwa usiku wa kipekee sio tu kwako bali kwa wasanii wa Marekani na duniani kwa ujumla kwani tuzo za 59 za The Grammy Awards 2017 ndio stori kubwa iliyobamba mitandaoni kwenye sekta nzima ya burudani.

Mwimbaji wa single ya ‘Hello’, Adele aliibuka kinara wa usiku huo akiondoka na jumla ya tuzo tano, moja ikiwemo album bora ya mwaka- 25-, wimbo bora wa mwaka “Hello, huku Beyonce akifanikiwa kubeba tuzo mbili; Best Music Video -Formation, na Best Urban Contemporary Album – Lemonade.

Kama ilikupita na hukupata chance ya kuzicheki tuzo hizo usiku wa jana, hapa chini nimekusogezea picha za mastaa waliohudhuria tuzo hizo kuanzia kwenye Red Carpet mpaka performance.

Adele – Akipokea na kusherehea tuzo yake.

Beyonce & Jay Z.

Chance The Rapper

Bruno Mars akiperform LIVE.

Chance The Rapper & Beyonce (Backstage).

Solange Knowles (mdogo wake Beyonce)

Jay Z & Chance The Rapper.

Alicia Keys (kushoto).

Beyonce akipokea tuzo.

DJ Khaled na Familia yake.

Adele akipokea Tuzo.

Jay Z na mwanae Blue Ivy na Rihanna backstage.

Beyonce akiperform LIVE.

DJ Khaled (Backstage.)

John Legend na mke wake.

Jenifer Lopez (JLo) & Chance The Rapper (Backstage).

Celine Dion 

PICHA: Billboard