Global TV Live: Tazama Mubashara Irene Uwoya Valentines’ Special Night Party
Global Publishers February 15, 2017
SHARE THIS:
LEO Februari 14, 2017, ikiwa ni siku ya msanii wa Bongo Movies, Irene Uwoya anafanya Party kubwa akiwa na wadau wenzake. Global TV Online inakuletea sherehe hiyo Mubashara kutoka Klabu ya Next Door, Masaki Dar.
Saa 6:30 Usiku: Shoo yenyewe
Mwanahari wetu, Mussa Mateja anatoa neno la utangulizi stejini.
Linah Akifanya yake stejini
Tunaweka mambo sawa!
Mussa Mateja akitoa neno la utangulizi
Straicker Obama akijitambulisha na kupiga stori na paparazi Matej
Watu wanazidi kumiminika ukumbini
Party inaonekana itapendeza kuliko kawaida
Party imeeshaanza sasa.
Wasanii wameshaanza kutumbuiza.
Linnah anakamu Jukwaani
Shilawadu wanaelezea mipango yao na tours zao za mikoani wanazotegemea kuzifanya hivi karibuni
Diva the Bause: Natamani Kudate na Ali Kiba
Diva: Niliwahi kufanya interview na Kiba akasema anatamani kunioa.
Imetimba mpaka alipoketi Q-Chief
Q-Chief: Nimekuja kutazama watu wanavyopendana, huenda na mimi nikajifunza namna ya kupenda
Q-Chief: Nimependa namna ambavyo waandishi wa habari wanaweza kujumuika na wasanii na mambo yakaenda sawa
Q-Chief: Kitu nilichokiona kunivutia ni watoto warembo.
Q-Chief:Sijaalikwa lakini nimeibukia tu ili nije kuona watoto wazuri walivyonoga.
Diva yupo stejini ana host shoo
Big up kwa Diva, amependeza kinoma
Diva anawaita Mose Iyobo na Aunty stejini
DIVA: anawauliza swali
Diva: Mlikutana wapi mkaanza mapenzi
AUNT: Tulikutana kwenye ndege tukienda Sauzi
AUNT: Hatukutongozana wakati huo…
AUNT: Tulikujauanza kufanya mapenzi hapa Bongo
DIVA: Kwa nini ulimuita Harmorapa anafanana na nyani?
Mose Iyobo: Sikumaanisha hivyo
DIVA Ulienda kuwasimulia WCB baada ya kulala na AUNT?
Mose Iyobo:Sikuwasimulia
DIVA: Aunt una neno gani kwa Uwoya?
DIVA: Nampenda tu
Aunt na Mpenzi wake Mose Iyobo
AUNT na Mose Iyobo wanapigana mabusu mbele ya mashabiki, mbele ya steji
Diva anamuita kajala stejini
DIVA: Kajala unaweza kudate na nani kati ya Kiba na Diamond?
Irene Uwoya alivyotokelezea
Kajala: Hakuna kati yao
Diva: Kwa nini
Kajala: Siwezi tuuuu
Diva: Quick Rocker mmeachana:
Kajala: Siajwahi kumdate Quick Rocker
Shoo inaendele kama kawa.
=====================================
MWISHO WA SHOOOO nA MWISHO WA MATANGAZO HAYA YA MOJA KWA MOJA KUPITIA GLOBAL TV ONLINE