×

Valentine day Yawapagawisha mashabiki Dar Live

Mwanamuziki wa East Afrika Merody Mwanamkuu Zayumba akiimba
Kundi la Makirikiri wa Tanzania wakitoa Burudani
Mwanamuziki wa TOT Taarabu Abdul Misambano akitoa burudani
Shabiki aliyevamia jukwaa akimtunza pesa Abdul Msambano
Waimbaji wa bendi ya TOT Taarabu band wakiimba kwa pamoja

Bendi za Taarabu za East Afrika Melody na TOT usiku wa kumakua Jumatano ziliwapagawisha mashabiki waliofulika katika ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar kusheherekea sikukukuu ya wapendanao

mbali ya bendi hiyo pia vikundi mbalimbali vilitoa burudani wakiwemo Makirikiri wa Tanzania ambao pia waliwapagawisha mashabiki waliofurika kwa wingi ndani ya ukumbi huo