×

GLOBAL TV ONLINE – LIVE: Wafanyabiashara Katika Soko la Buguruni Waelezea Kero Zao

Global TV Online leo Februari 18, 2017 imetembelea maeneo ya Bugurni jijini Dar es Salaam na kufanikiwa kuzungumza na wakazi pamoja na wafanyabiashara eneo hilo ambao wameelezea changamoto zinazowakabili na kuiomba serikali kwa namna moja amaa nyingine iwasaidie kuboresha miundombinu za soko lao ili waweze kufanya kzi katika mazingira rafiki.

Twende pamoja….!