IKIWA ni usiku wa burudani kwa wajanja wa Dar es Salaam, usiku wa kuamkia Feb. 19, 2017, kulikuwa na Bonge la Shoo la aina yake ambapo wasanii Ben Pol, Jux na Barakah da Prince walikamua mbaya.
Katika shoo hiyo iliyokusanya mastaa kibao wa tasnia tofauti wakionesha uwezo wao katika Uwanja wa Leaders Club, miongoni mwa wasanii hao alikuwepo Damian Soul alifanya shughuli ya maana kwenye jukwaa la Love, Melodies and Lights Event.
Shuhudia mwenyewe kwenye video hii