×

GLOBAL TV ONLINE -LIVE: Steve Nyerere Afunguka Mambo Mazito Sakata la Wema na Mama Yake

Muigizaji na mchekeshaji mahiri Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar ambapo, GLOBAL TV ONLINE ilikuwa ikirusha LIVE.

Steve amefunguka mambo mazito kuhusiana na sakata la Wema Sepetu kukamatwa na polisi kwa tuhuma za madawa ya kulevya, sauti iliyosambaa mitandaoni huku zikisikika sauti mbili, ya Steve Nyerere na ya Mama Wema wakimtuhumu RC Paul Makonda kutoa amri ya kukamatwa kwa msanii Wema Sepetu. Ishu ya Wema na mama yake kuhamia Chadema.

Karibu na GLOBAL TV ONLINE, utazame LIVE , usisahau ku- SUBSCRIBEGLOBAL TV ONLINE.