×

Tabiri Mshindi: Simba Sc Vs Yanga Sc

KAMA wewe ni mpenda soka lazima unafahamu kuwa leo, Februari 25, 2017 kuna mechi kali itakayowakutanisha miamba ya Tanzania namaanisha watani wa jadi, Simba na Yanga. Mechi ikiwa ni ya mzunguko wa pili mechi ya marudiano Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

Nikuombe uangushe comment yako na ufanye utabiri wa nani ataibuka na ushindi leo.

Mwongozo: Matusi hayaruhusiwi, uchambuzi wa mchezo unaruhusiwa.