×

Jamii Yaaswa Kuhifadhi Mambo ya Kale

Mkurugenzi wa mambo ya kale Donatus Karuamba ma kwanza (kushoto) na kaimu Mkurugenzi utafiti,mafunzo na takwimu masuala ya kale,Dk.Emmanuel Bwasira wakizungumza na wanahabari.
WIZARA ya Mali asili na utalii kupitia Kwa Mkurugenzi anayehusika na  masuala ya kale, Donatus karuamba amesema kuwa Jamii inapaswa kulinda na kuhifadhi mambo ya kale ili kuhifadhi historia katika Jamii.
Akizungumza na wanahabari leo Jijini Dar es Salaam, Karumba amesema kuwa mambo yanayopaswa kuhifadhiwa na kubakia Kama historia ni Kama vile mapango yaliyopo Bagamoyo,  makumbusho ya taifa na Mambo yote yenye kuhifadhi historia.
Mkutano ukiendelea
Denis Mtima/GPL