×

Pichaz: Fernando Torres Aumizwa Vibaya Katikati ya Mechi, Akimbizwa Hospitali

Mshambuliaji wa Atletico Madrid, Fernando Torres jana alikimbizwa hospitali baada ya kupata majeraha kichwani wakati wa mchezo na Deportivo.