
MKE wa Rais Mama Janeth Magufuli ameshiriki Misa ya njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Katoliki la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma jana ijumaa machi 11, 2017




Aidha Mama Magufuli alipata nafasi ya kusalimiana na waumini wengine waliofika katika kanisa hilo kufanya ibada.
SHINDA NYUMBA AWAMU YA PILI YATIKISA JIJI LA DAR ES SALAAM