The House of Favourite Newspapers
gunners X

Uthamani wa Muvi ni Uhalisia

Na Salum Milongo/GPL Neria ni filamu ya Zimbabwe aliyochezwa mwaka 1993, iliyoandikwa na mwandishi Tsitsi Dangarembga. Filamu hii iliyoongozwa na Godwin Mawuru na kwa kushirikiana na Louise Riber. Ni filamu ya juu kwa hadhi katika…

Mwigulu: Nape Sio Jambazi…

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ameandika ujumbe katika mitandao ya kijamii kufuatia ishu ya aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye kutolewa bastola na mtu anayedaiwa kuwa ni askari kanzu.…

Linex: Kiki Zinaua Muziki

MSANII wa Bongo Fleva anayetikisa kwa sasa na wimbo wake Kiherehere, Sunday Mangu, ‘Linex’, amefunguka kupitia akaunti na kudai kuwa muziki mzuri unapotea ama unakufa kwa uwepo wa kiki (Skendo). Akipiga stori na mwandishi wa mtandao…

Makonda Awajibu Wanaomtuhumu Mkewe

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewajibu wote wanaosema katika mitandao ya kijamii, kuwa mkewe si raia halali wa Tanzania na kusema kuwa, hata kila siku wataamka na kisa kipya yeye bado ataendelea kupambana na kuhakikisha…