RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amepokea toka kwa Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Kamishna Valentino Mlowola Taarifa ya Utendaji kazi wa TAKUKURU ya mwaka 2015/2016 leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.