Uwanja wa Ndege Washambuliwa Mogadishu Global Publishers April 16, 2017 4,658 views 0 Comments SHARE THIS: TAARIFA kutoka Somalia zinaeleza kuwa mizinga kadha imerushwa dhidi ya uwanja wa ndege katika mji mkuu, Mogadishu. Shuhuda wa tukio hilo, anasema skari wa usalama wa Somalia, walipambana kwa risasi, na washambuliaji. SHARE THIS: