×

Rais Magufuli Amefanya Uteuzi Mwingine Leo Mei 4, 2017

IKULU: Rais Magufuli amemteua Prof. Egid Beatus Mubofu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Uteuzi umeanza Mei 2, 2017.

Leave a Comment