Wabunge wa kuteuliwa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamecharuka Bungeni wakitaka wahusike kwenye mfuko wa Bunge ambao unawahusu wabunge wa majimbo (waliopigiwa kura na wananchi) jambo ambalo wamedai siyo haki kwa kuwa wote wanafanya kazi za kuwatumikia wananchi.
SIKILIZA KILICHOJIRI BUNGENI