BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake vya Bunge mjini Dodoma asubuhi hii kujadili na kupitisha Bajeti za wizara mbalimbali. Asubuhi hii ni kipindi cha maswali na majibu.
Endelea kufuatilia mijadala ya Bunge Live Kupitia Global TV Online.