



Kundi la vichekesho hapa nchini likiongozwa na Jackson Supakila ‘Mkali Wenu na Ninyetwa Ebitoke ‘ Ebitoke’ kupitia Timamu TV, hakika lilikuwa la aina yake na liliacha simulizi kubwa kwa mashabiki waliojitokeza kulishuhudia tamasha la Wapo Concert lililofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa burudani wa Taifa wa Dar Live.