×

Maamuzi ya Manispaa ya Moshi Kuhusu Kuaga Mwili wa Mzee Ndesamburo

Manispaa ya Moshi imeitaka familia ya Mzee Ndesamburo kutumia Uwanja wa Majengo badala ya Uwanja wa Mashujaa, Moshi kuaga mwili wa marehemu.

Leave a Comment