×

VIDEO: Ndugu Wasisitiza Hawatamzika Ndugu Yao Aliyepigwa Risasi na Polisi Mpaka Kieleweke

Ndugu, jamaa na mashehe wakinungumzia tukio hilo

 

Familia ya Salum Almasi, Imamu wa msikiti wa Al-Kheri uliopo Kurasini jijini Dar es Salaam, aliyepigwa risasi na polisi na kuuawa huku polisi wakiendelea kushikilia msimamo kwamba alikuwa jambazi, wametoa tamko kali kwa jeshi la polisi kuhusu mazingira ya kutatanisha ya kifo cha ndugu yao.

Leave a Comment