
Tanzania imefuzu kwa robo fainali ya mashindano ya Cosafa baada ya kulazimishwa sare 1-1 na Mauritius.
Bao la Stars lilifungwa na mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara, Simon Msuva na kuivusha Tanzania kwa robo fainali itacheza dhidi ya wenyeji Afrika Kusini.