×

Cheki Mahabusu Anavyosepa Na Gazeti la Ijumaa Wikienda Segerea

Moja ya picha zilizovutia hisia za paparazi wetu leo katika Mahakama ya Kisutu ni mahabusu mmoja aliyekuwa ameshika Gazeti la Ijumaa Wikienda akiingia nalo kwenye Karandinga tayari kwenda Segerea. Hata mfungwa ana haki ya kusoma kama waliouraiani. Nimekuwekea Picha 4 zikionesha tukio hilo hatua kwa hatua kama lilivyonaswa na paparazi wetu.

PICHA NA MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS

1 Comment

Leave a Comment