×

Breaking News: Mwakyembe Azindua Bodi ya Sanaa Bagamoyo

Waziri wa habari, Utanaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe leo amezindua rasmi bodi mpya ya Taasisi ya Sanaa Bagamoyo itakayoongozwa na Katibu Mkuu Mstaafu, George Yambesi.

Hapa ni video ya tukio zima la uzinduzi wa bodi hiyo.

Leave a Comment