ACACIA: Kampuni ya uchimbaji madini nchini, Acacia imetangaza kuwa imepata hasara ya takribani Tsh bilioni 391.9 kwa kipindi cha miezi 6 kutokana na kuzuiwa kusafirisha makinikia nje ya nchi.