Mtanzania Idd Pialali Amtandika Regin Champion wa DR Congo, Aibuka Mshindi
Global Publishers July 23, 2017 0 Comments
SHARE THIS:
Mtanzania Idd Pialali (kulia) akitupa makonde mazito kwa mpinzani wake kutoka DR Congo, Regin Champion kwenye Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem, Dar.Regin Champion akifanya yake.Idd Pialali (kushoto) akikwepa makonde ya Regin Champion.