Sol Campbell Alivyotua Tanzania, Apokelewa na SportPesa
Global Publishers August 6, 2017 0 Comments
SHARE THIS:
Beki kisiki wa zamani wa Arsenal, Sol Campbell (mwenye begi) akiongozana na SportPesa (wa pili kulia) baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana.…Akiongea jambo…Akipiga ‘selfie’ na mashabiki wa Arsenal waliofika uwanjani kumpokea.Mashabiki wakishangilia naye.Mashabiki wakigombea kupiga naye picha kwenye simu zao.Mwandishi wa Championi, Sweetbert Lukonge (kulia) alikuwa mmoja wa waliofika kumpokea.
Beki kisiki wa zamani wa Arsenal, Sol Campbell, tayari ametua nchini kwa ajili ya ziara ambayo ni mwaliko wa SportPesa Tanzania.
Campbell ametua na kupokelewa na wenyeji wake SportPesa na baadaye mashabiki wa Arsenal ambao walijitokeza Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).
PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL
Sol Campbell azungumzia mechi ya arsenal vs chelsea ngao ya jamii