×

Rais wa Misri Awasili Tanzania kwa Ziara ya Kikazi

Rais wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi bakishuka kwenye ndege baada ya kuwasili.

Rais wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi amewasili nchini Tanzania na kupokelewa na mwenyeji wake, Rais John Pombe Magufuli kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.

 

Rais Magufuli akimpokea mgeni wake, Rais El-Sisi.

El-Sisi amewasili kwa ndege maalum ya serikali ya Misri na kupokelewa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Rais Magufuli akisalimiana na El-Sisi.

===

Usipitwe na Matukio, Download na Install ==> Global Publishers App

 

SHUHUDIA VIDEO YA MAPOKEZI HAYO NA MIZINGA ILIVYOPIGWA

 

Leave a Comment