Kamanda Mstaafu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Suleiman Kova amefunguka mengi kuhusu maisha yake wakati akilitumikia taifa na baada ya kustaafu pamoja na shughuli anazofanya kwa sasa.
Pia Kova amefunguka namna misukosuko iliyowahi kumpata ikiwemo kunusurika kifo kwa kufyatuliwa risasi na watu wasiojulikana.
Usikose kipindi maalum kupitia #GlobalTVOnline pekee, leo Alhamisi saa 12:00 Jioni.
Stay tuned!
Msikie hapa kwa ufupi akizunguzmza.