×

Uzinduzi Wa Sokabet… Mamilioni Yanakufuata Ulipo

# Sokabet inazinduliwa leo, anza kubeti sasa

# Namba ya bahati ni 335757

 

BAADA ya ahadi ya wiki kadhaa hatimaye sasa namba yako ya bahati katika mchezo wa kubashiri matokeo ya 335757 kutoka Sokabet inazinduliwa leo Ijumaa.

335757 ni namba ya Kampuni ya Sokabet ambayo itakuwezesha kupata mamilioni ya fedha kwa kutabiri matokeo.

Hizi ni dondoo muhimu kwa wewe unayehitaji kuingia ndani ya tovuti ya sokabet.co.tz kwa ajili ya kutabiri matokeo ya michezo mbalimbali ambapo utakuwa na nafasi ya kuingiza fedha.

Kujiandikisha ni bure

Ingia kwenye tovuti ya ww.sokabet.co.tz kisha bonyeza sehemu ya ‘sign up’ yaani jisajili kwa mara ya kwanza. Hapo utajaza nafasi chache zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa njia ya SMS.

Baada ya hapo utajerea sehemu ya kuingia ndani yaani ‘LOGIN’, andika namba yako ya simu kisha ingiza namba ya siri ambayo ulitumiwa kwa njia ya SMS, ukifanikisha hilo utakuwa umeshaingia kwenye akaunti yako rasmi.

Utakaporejea baadaye kufungua tovuti hiyo, hutakuwa na haja ya kujiandikisha upya, badala yake utaingiza namba yako ya simu kisha namba ya siri tu basi.

Kuingiza fedha & kubashiri

Kabla ya kuanza kubashiri, kwanza ingiza fedha kwenye akaunti yako. Jinsi ya kuingiza fedha watumiaji wa Vodacom, bonyeza *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757, kisha ingiza kumbukumbu ambayo ni neno ‘Soka’.

Baada ya hapo utaingiza kiasi unachotaka kuweka mfano Sh 1,000 au 2,000 na kuendelea, utamalizia kwa kuingiza namba yako ya siri na bonyeza namba 1 ili kukamilisha mchakato.

Kwa Tigopesa, kubonyeza *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, ingiza neno ‘Sokabet’, malizia na namba yako ya siri ya Tigopesa.

Kwa Airtel bonyeza *150*60#, chagua namba 5 (lipia bili), bonyeza namba 4 (namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, itakwambia ingiza kumbukumbu namba (hapa ingiza neno ‘Soka’), kisha namba yako ya siri ya Airtel money.

Hapo utakuwa umeshajaza salio kwenye akaunti yako ya Sokabet tayari kwa ajili ya kuanza kubashiri.

Lugha ya Kiswahili

Wakati tovuti nyingi za kubashiri matokeo nchini zikitumia Kingereza, ndani ya Sokabet unaweza kuchagua Kingereza au Kiswahili. Unachotakiwa kufanya ni kufungua www.sokabet.co.tz kupitia simu au kompyuta, ikifunguka tazama upande wa juu kulia, hapo kuna maelezo ya kuchagua lugha unayotaka, sehemu hiyo imeandikwa ‘language’.

Sh milioni 100 na Sokabet Jackpot

Ndani ya Sokabet unayo nafasi ya kushinda hadi shilingi 100m kwa Sh 1,000 yaani buku tu, hii ni katika kipengele cha Sokabet Jackpot. Kutakuwa na Jackpot 2 ndani ya tovuti hiyo kila wiki, ya kwanza ni Jumatano na kumalizika Alhamisi, ya pili ni Jumamosi na kumalizika Jumapili.

Sokabet Jackpot ni nini?

Hii ni aina ya ubashiri ambao unapewa idadi kadhaa ya mechi ubashiri, ukipatia zote unapata hadi Sh 100m. Ndani ya Sokabet utatakiwa kupatia matokeo ya mechi 13 tu.

Idadi ya mechi za jumla ni 16 huku 3 za nyongeza zikiwa ni za ziada tu ambazo haziwezi kuathiri zile 13 ulizobashiri. Hizo za ziada zinawekwa ili zijumuishwe kwa dharura endapo itatokea kuna mechi ndani ya zile 13 haikufanyika au haikumalizika.

Ukikosea mechi chache ndiyo basi?

Sokabet ina nia ya kweli kukujaza mamilioni, hata kama ikitokea umekosea michezo michache bado utakuwa na nafasi ya kujiingizia fedha nyingi. Mfano ikitokea wabashiri wamepatia michezo 12 kati ya 13 basi watapatiwa Sh milioni 5, watakaopatia mechi 11 watapatiwa Sh milioni 2. Mgawanyo wote upo hivi:

Mechi utakazopatia        Fedha utakazopata

13/13                                     Kiasi kilichotangazwa

12/13                                     Sh 5,000,000

11/13                                     Sh 2,000,000

10/13                                     Sh 1,000,000

9/13                                      Atashiriki bure Jackpot inayofuata

 

Kwa Sh 200 tu unapata mamilioni

Ukishaingiza fedha kwenye akaunti yako, unaweza kuanza kubashiri hata ukiwa na salio la shilingi 200 tu ambayo ikakuwezesha kupata mamilioni ya fedha.

Siyo soka tu

Ndani ya Sokabet siyo soka tu, kuna michezo mingi ikiwemo American football, baseball, kikapu, kriketi, golf, mpira wa mikono (handball), ice hockey, mbio za magari, ragbi, tenisi, volleyball na ndondi.

Mayweather Jr Vs Conor McGregor

Kuelekea pambano la bondia Floyd Mayweather Jr dhidi ya Conor McGregor la alfajiri ya keshokutwa Jumapili, Sokabet imekuandalia kitu kizuri.

Mabondia hao wataingiza mabilioni ya fedha kwa kupanda ulingoni, lakini wewe pia unaweza kuingiza mamilioni ya fedha kupitia hilo pambano, ndani ya Sokabet utakutana na pointi (odd) za juu za kubashiri pambano hilo.

Namba ya bahati 335757

Washiriki wa kubashiri watakuwa wenye umri wa kuanzia miaka 18, pia kumbuka unatakiwa kuiweka kichwani namba 335757 ambayo ni ya Sokabet, hii ndiyo itakupa neema yote ya kukufanya umiliki mamilioni ya fedha.

Leave a Comment