The House of Social Media
gunners X

JPM: Tumebaini Mengi ya Hovyo, TAKUKURU Msiwe na Kigugumizi

0
Rais Maguduli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Valentino Mlowola.

Ulinzi umeimarishwa katika ofisi za makao makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) zilizoko Upanga, jijini Dar es Salaam huku ikielezwa kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli anatembelea ofisi hiyo.

 

Rais Maguduli akiagana na Mlowola.

Saa 3:17 asubuhi yaleo Agosti 28, msafara wenye magari yapatayo 10 uliingia katika ofisi hiyo.

Rais Maguduli akizungumza na watumishi wa Takukuru.

Katika kuimarisha ulinzi, barabara zinazoingia kwenye ofisi hiyo nazo zimefungwa.

Taarifa zaidi kuhusu alichokizungumza Rais alipotembelea TAKUKURU.

Tundu Lissu Ataja Waliolipua Ofisi za IMMMA Advocates, Atangaza Mgomo wa Mawakili

Leave A Reply