
HABARI njema kwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ wa Chadema ambaye amefungua hoteli yake mpya na ya kisasa yenye jina la Desderia jijini humo.

Sugu alianza kuijenga hoteli yake mwaka 2016 ambapo aliweka bayana kuwa alipata mkopo wa CRDB BANK ambao ulimpa nguvu ya kuijenga hoteli hiyo.

Hoteli ina nafasi za kulaza wageni, chakula, parking na vitu vingine.

Wakati wa uzinduzi, nyumba hoteli hiyo ilibarikiwa na Padri na kunyunyiziwa maji ya baraka kabla ya kuanza kufanya kazi.








Kumbe Tupac Hajafa! Chid Benz Afanya Naye Kolabo, Atakuja Bongo Soon
