Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya ya Watani wa Jadi (Yanga Vs Simba) itakayochezwa
Oktoba 28 2017, Viingilio hivyo vitakuwa kama ifuatavyo:-
Mzunguko ni 10,000
Jukwaa Kuu ni 20,000
Usipitwe na Matukio, Install App Yako ya Kijanja na Namba Moja Tanzania ya Global Publishers
Android ===>Google Play
iOS ===>Apple Store