×

Man City Waitwanga Arsenal Bao 3-1 (Video)

Mshambuliaji wa timu ya Man City, Kevin de Bruyne akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 19  katika Uwanja wa Etihad leo.
Sergio Aguero akifaya yake kabla ya kufunga bao la pili.
Mchezo ukiendelea.
Wachezaji wa Man City wakishangilia kwa pamoja.

MANCHESTER City leo wameibuka na ushindi wa kishindo dhidi ya Arsenal katika Uwanja wao wa nyumbani wa Etihad. Mabao ya Man City yamefungwa na Kevin de Bruyne dakika ya 19, Sergio Aguero dakika ya 50 na Gabriel Jesus dakika ya 74 huku bao la Arsenal likifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 65.

Manchester City (4-3-3): Ederson 6, Walker 6.5, Stones 7.5, Otamendi 7, Delph 6.5, De Bruyne 8, Fernandinho 7, Silva 7.5, Sterling 6.5 (Gundogan 78, 6), Aguero 6.5 (Gabriel Jesus 62, 7), Sane 7 (Bernardo Silva 87).

Unused subs: Bravo, Danilo, Mangala, Toure.

Bookings: Otamendi

Goals: De Bruyne 19, Aguero 50 (pen), Jesus 74

Arsenal (4-3-3): Cech 6, Bellerin 6, Koscielny 6.5, Monreal 6, Kolasinac 5, Xhaka 6 (Wilshere 78, 6), Coquelin 5.5 (Lacazette 56, 7), Ramsey 6.5, Ozil 5, Iwobi 6 (Giroud 78, 6), Sanchez 6.5.

Unused subs: Debuchy, Walcott, Elneny, Macey.

Bookings: Koscielny, Xhaka, Monreal, Sanchez, Lacazette

Goals: Lacazette 65

Referee: Michael Oliver (Northumberland) 6

MOM: De Bruyne

Leave a Comment