×

Video: Mzee wa Miaka 75 Afunga Ndoa na Bibi wa Miaka 60, Ndoa Yawa Gumzo!


Ndoa ya wahenga, Seleman Said Songo mwenye umri wa miaka 75 na Mariam Said Fupi mwenye umri wa miaka 60, imeacha gumzo Mlandizi mkoani Pwani na sehemu nyingine kutokana na umri walionao wanandoa hao.

 

Mariam alifiwa na mumewe, Novemba, mwaka jana wakati Songo aliamua kuachana na mkewe miaka sita iliyopita baada ya kushindwana tabia ambapo baada ya kukutana, walikubaliana kufunga ndoa ya kidini, iliyofungwa Oktoba 29, mwaka huu.

 

Global TV Online imefunga safari mpaka nyumbani kwa wanandoa hao na kuzungumza nao. Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1

Leave a Comment