Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe leo ameuliza swali Waziri Mkuu Majaliwa kuhusu hatua gani wamechukua juu ya kushambuliwa kwa Tundu Lissu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema matukio ya mauaji yanayoendelea nchini yanashughulikiwa na serikali.